Jengo lenye ghorofa tisa laanza kuporomoka Mombasa

  • | Citizen TV
    5,578 views

    Wakazi wa maeneo ya Makadara kaunti ya Mombasa wameanza kuhama huku shughuli zikitatizika baada ya jengo la ghorofa tisa kuanza kuporomoka. Maafisa wa polisi wamezingira eneo hilo Na kupiga marufuku kuingia na kutoka mtaani humo.