- 507 viewsHelikopta za Israel zimefanya shambulizi huko Rafah leo Alhamisi, wakazi wamesema, huku wanamgambo wa Hamas wakiripoti mapambano ya mtaani katika mji wa kusini baada ya mwanadiplomasia wa juu wa Marekani Antony Blinken amesema sitisho bado linawezekana. Majeshi ya ardhini ya Israel yamekuwa yakifanya harakati zake huko Rafah, karibu na mpaka wa Misri, tangu mapema mwezi Mei ili kuwasaka Hamas. Wakati huo huo jeshi la Israel limefanya uvamizi huko Jenin, Ukingo wa magharibi nyakati za asubuhi leo Alhamisi huki wakiwa na silaha nzitona magari ya kivita. Uharibifu kwenye mitaa na mabanda sokoni umesababisha na magari makubwa ya jeshi la Israel yaliyokuwa yakipita mitaani, wenyeji wamesema. #Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #kufrdan #jenin #wanamgambo #wapalestina #jeshi #israel
Jeshi la Israel lashambulia Rafah mpakani na Misri
- 23 Apr 2025 - Several world leaders have announced they will travel to Rome for Pope Francis's funeral on Saturday, which is likely to also draw a huge crowd in the square in front of St Peter's Basilica at the Vatican.
- 23 Apr 2025 - Prince William will represent Britain's royal family at the funeral of Pope Francis at the Vatican on Saturday, Kensington Palace said Tuesday.
- 23 Apr 2025 - Orengo speaks language of integrity in a betrayed nation
- 23 Apr 2025 - Shilling's rally set for dividends season dollar demand test
- 23 Apr 2025 - MPs launch probe into kidney trade claims
- 23 Apr 2025 - The elusive dream: Is the world ready for a Pope from 'fast rising' Africa?
- 23 Apr 2025 - Minty business: Local farmer mints cash from fragrant crop
- 23 Apr 2025 - CoG: William Ruto a threat to devolution
- 23 Apr 2025 - ARA seeks to freeze assets linked to Canadian tycoon
- 23 Apr 2025 - Nepal's digital finance and lessons from our mobile money revolution