Jeshi la Israeli lamuokoa mateka Qaid Farhan Alkadi aliyeshikiliwa Gaza
Vikosi maalum vya Israeli vimemuokoa mateka wa Israeli kutoka katika mahandaki katika eneo la kusini la Ukanda wa Gaza katika “operesheni nzito ya uokoaji”, jeshi limesema Jumanne (August 27), baada ya mtu huyo kutekwa na watu wenye silaha wa kikundi cha Hamas zaidi ya miezi 10 iliyopita mnamo Oktoba 7, 2023.
Jeshi lilisema Qaid Farhan Alkadi mwenye umri wa miaka 52, ni wa jamii ya Mabedui huko kusini mwa Israel, na alipelekwa hosptali na hali yake inaendelea kuimarika.
Reuters haikuweza kuthibitisha yenyewe sehemu ambapo video hiyo ya majeshi ya Israeli ilichukuliwa lakini Reuters waliweza kuthibitisha wenye kwa kujitegemea kuwa eneo hilo ni Hospitali ya Soroka, kutokana na majengo yalivyo na alama ambazo zinalingana na picha za majengo ya eneo hilo.
Wakati operesheni hiyo ilipothibitishwa, vituo vya televisheni vya Israeli vilionyesha helikopta ya jeshi ikitua katika hospitali wakati wahudumu wa afya na gari la wagonjwa lilikuwa likisubiri kumpokea Alkadi. - Reuters
#gaza #ukandawagaza #mateka #israeli #jeshi #voa #voaswahili #qaidfarhanalkadi #hamas #palestina #wapalestina
27 Nov 2024
- The clarification came amidst a public backlash against the Members of Parliament.
27 Nov 2024
- The new fees will also affect those applying for the certificates from abroad.
27 Nov 2024
- The Uganda's opposition leader had attended Martha Karua's official book launch on November 17.
27 Nov 2024
- Officers from the Wajir Township Police Station, who were patrolling the town, arrived quickly and discovered Senior Sergeant Lonzi Joseph, a member of the Department of Defence (DoD) stationed in Wajir, as the victim of the attack.
27 Nov 2024
- Police in Kirinyaga are looking for a miraa driver who was involved in a road accident where he knocked down two children aged 12 and 7 years at Ngurubani, along –Mwea-Embu highway on Tuesday night.
27 Nov 2024
- Over 2,000 residents of Lamu have filed an application at the Milimani Law court seeking to be enjoined in a land dispute matter in Manda.
27 Nov 2024
- The November 20 bombshell indictment in New York accused billionaire industrialist founder Gautam Adani and multiple subordinates of deliberately misleading international investors as part of the bribery scheme.
27 Nov 2024
- Senior constable Kristian White was called to the nursing home in May 2023 as Clare Nowland -- who displayed symptoms of dementia -- slowly roamed the halls with a steak knife.
27 Nov 2024
- Somalia's government on Tuesday said it will not recognise the re-election of the southern Jubaland region's leader, highlighting a growing rift with its semi-autonomous states.
27 Nov 2024
- Ceasefire to begin in Israel-Hezbollah war
27 Nov 2024
- Ruto steps up bid to secure Raila's backyard as their union blossoms
27 Nov 2024
- Quality will take you far, only if you have patience
27 Nov 2024
- Courts orders IEBC and State to place beacons in all 47 counties