Jeshi la Sudan litafaulu kuidhibiti tena ikulu? katika Dira Ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    2,256 views
    Jeshi la Sudan linaripotiwa kukaribia kuchukua udhibiti wa ikulu ya rais katikati mwa mji mkuu Khartoum, kutoka kwa vikosi vya wapiganaji wa Rapid Support Forces (RSF) ambao wamekuwa wakidhibiti jengo hilo la kimkakati tangu vita vya wenyewe kwa wenyewe vilipozuka mwezi Aprili 2023, hii ikiwa ni kwa mujibu wa Televisheni ya Sudan inayomilikiwa na serikali.