Jifunze namna ya kusaidia watu wenye kukataa tamaa kutokana na ulemavu au maradhi ya akili

  • | VOA Swahili
    109 views
    Je, unafahamu namna ya kusaidia watu wenye kukata tamaa, kutokana na ulemavu au maradhi ya akili. Sikiliza mahojiano na mtaalam wa saikolojia. Ungana na mwandishi wa VOA Mombasa, Kenya, Amina Chombo kwa taarifa kamili. Endelea kusikiliza... #ulemavu #maradhiyaakili #kukatatamaa #kenya #mombasa #aminachombo #voa #voaswahili