Jimi Wanjigi kuzuiliwa korokoroni kwa madai ya kufadhili maandamano ya Nane Nane

  • | KBC Video
    49 views

    Mfanyabiashara aliye pia mwanasiasaJimi Wanjigi atalala kwenye korokoro za kituo cha polisi cha Kamukunji katika kaunti ya Nairobi kusubiri kufikishwa kwenye mahakama ya Milimani kesho. Wakili wa Wanjigi, wakili mkuu John Khaminwa alithibitisha kwmaba alikamatwa leo alasiri baada ya kujiwasilisha kwenye afisi za idara ya ujasusi jijini Nairobi kuandikisha taarifa kuhusiana na madai kwamba alihusika kwenye maandamano ya Nane Nane tarehe 8 mwezi huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive