Jinsi lava ilivyotiririka katika Mlima Etna,

  • | BBC Swahili
    73 views
    Lava imetiririka kutoka kwenye mlima mrefu zaidi barani Ulaya na wenye volkano hai, Mlima Etna, wakati wa usiku. Mlima Etna, kwenye kisiwa cha Italia cha Sicily, una urefu wa mita 3,300. Kwa mujibu wa wataalamu wa volkano, mlipuko wa sasa ulitokea katika mpasuko ardhini. #bbcswahili #italia #lava Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw