Jinsi mabadiliko ya hali ya hewa yanavyoleta wanyama hatari karibu na makazi ya binadamu

  • | BBC Swahili
    383 views
    Wakati mkutano wa kilele wa hali ya hewa barani Afrika ukimalizika mjini Nairobi, jamii zinazoishi karibu na Ziwa Baringo katika eneo la bonde la Ufa la Great Rift nchini Kenya zinaishtaki serikali kwa athari mbaya za mabadiliko ya hali ya hewa. Wanasema imesababisha kuongezeka kwa mashambulizi ya mamba huku kuongezeka kwa maji hayo yakileta wanyama hao hatari karibu na wakazi wa eneo hilo. Video: Hassan Lali #bbcswahili #kenya ##mabadilikotabianchi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw