Jinsi mashirika ya Tanzania yalivyoumizwa na Trump

  • | BBC Swahili
    432 views
    Huko nchini Tanzania, utafiti uliofanywa na muungano wa watetezi wa haki za kibinaadam, THDRC, umeonyesha kwamba sekta binafsi zinakumbana na changamoto kubwa ya kiuchumi, kutokana na mpango wa Marekani kusitisha misaada kupitia shirika lake la USAID. Aidha, miradi mikubwa muhimu imesimama, huku mamia ya watu wakikosa huduma za msingi.