Jinsi sokwe na binadamu wanavyoelewana

  • | BBC Swahili
    340 views
    Utafiti mpya unaonesha kuwa binadamu wanaweza kuelewa ishara na vitendo vingi ambavyo sokwe hutumia kuwasiliana wao kwa wao. - Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha St Andrews, Wanasema matokeo yanaonyesha kwamba mababu zetu wa mwisho waliwasiliana na sokwe kwa kutumia ishara na vitendo. Na kwamba hizi zilitoa asili ya lugha yetu wenyewe. #bbcswahili #sayansi #wanyama