Jinsi vita ilivyoua matumaini ya Ethiopia katika Olimpiki

  • | BBC Swahili
    411 views
    Theluthi moja ya timu ya Olimpiki ya Ethiopia imetoka Tigray. Eneo ambalo lilishuhudia mzozo wa miaka miwili mwaka 2020 kati ya serikali ya Ethiopia na vikosi vya Tigray. Redae Gebreyesus angeweza kuiwakilisha Ethiopia kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris, lakini aliuawa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe. Mwanariadha huyo mwenye talanta ya mbio za kati aliuawa mwishoni mwa 2020, siku chache baada ya mzozo wa Tigray kuanza mwezi Novemba mwaka huo. #bbcswahili #Tigray #mzozo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw