Jinsi vita vinawatatiza raia DRC

  • | BBC Swahili
    6,659 views
    Waasi wa kundi la M23 wamepiga hatua kubwa kufikia mji wa Kamanyola uliopo kwenye mpaka wa DRC na Burundi. Huku vita vikiendelea, janga la kibinadamu linaendelea kuwa baya. zaidi ya watu laki nne wamelazimika kutoroka makaazi yao katika wiki za hivi karibuni.