Skip to main content
Skip to main content

John Heche hajulikani alipo, yasema familia

  • | BBC Swahili
    35,526 views
    Duration: 5:36
    Chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimetoa taarifa kuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho John Heche hajafikishwa kwenye kituo chochote cha polisi licha ya kukamatwa na polisi hapo jana akiwa amehudhuria kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lisu. Familia ya Heche kwa kushirikiana na wanasheria wamefanya jitihada ya kumtafuta Heche kwenye mamlaka mbalimbali bila mafanikio. #Heche #Tanzania #bbcswahili #dirayaduniatv #johnheche Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw