John Lisu: Mwanzilishi wa injili za majukwaani

  • | BBC Swahili
    1,304 views
    John Lisu anatajwa kuwa miongoni mwa waanzilishi wa muziki wa injili majukwaani nchini Tanzania. Je ungependa kufahamu nini kutoka kwake? Wimbo wake upi unaukubali? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw