Joho asema kuwa 95% ya uchimbaji madini ni haramu

  • | Citizen TV
    716 views

    Waziri wa madini Hassan Joho amesema kuwa asilimia 95% ya shughuli za uchimbaji madini nchini ni haramu. Joho amesema kuwa hali hiyo imesababishia taifa kupoteza pesa huku madini yakisafirishwa nje ya nchi kinyume cha sheria. Joho amesema kuna haja ya kuhakikisha kuwa madini yote yanachunguzwa kabla ya kusafirishwa nje.