Jose Chameleone: Gwiji wa muziki Afrika Mashariki

  • | BBC Swahili
    3,148 views
    Gwiji wa muziki toka nchini Uganda Jose Chameleone hivi karibuni alisherehekea miaka 25 katika tasnia ya muziki. Chameleone alitoa albamu yake ya kwanza mwaka 2000, na kufikia mwaka 2013, alikuwa ametoa albamu 13, zikiwemo Kipepeo, Shida za Dunia, Valu Valu, Bayuda, Badilisha, Sweet Banana, na Champion. Mwandishi wa BBC Swahibu Ibrahim alimtembelea Jose Chameleone na kuandaa taarifa hii 🎥: @frankmavura #bbcswahili #uganda #muziki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw