Juhudi za kukabiliana na mihadarati Lamu zaimarishwa

  • | KBC Video
    40 views

    Asasi za usalama katika eneo la Pwani zimeimarisha juhudi zake katika vita dhidi ya ulanguzi wa mihadarati mwaka huu kwa kuwatia nguvuni washukiwa-33 wa biashara ya dawa za kulevya. Aidha wamenasa viwango vya juu vya mihadarati zikiwemo tani 4 za bangi, kilo 3.4 za heroin, pamoja na gramu- 400 za Cocaine. Akiongea baada ya kukutana na vikosi vya usalama kutoka kaunti sita za eneo la Pwani, mrakibu wa eneo hilo Rhoda Onyacha, alikariri kujitolea kwa serikali kuhakikisha inatokomeza mihadarati sehemu hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive