Juhudi za pamoja zahitajika kufanikisha hudumaza upangaji uzazi

  • | KBC Video
    1 views

    Wadau katika sekta ya afya ya uzazi wametoa wito wa juhudi za pamoja kutoka kwa sekta za kibinafsi na umma ili kuimarisha upatikanaji wa huduma za upangaji uzazi kwa wasichana na wanawake kote nchini. Wakiongozwa na aifsa mkuu wa shirika la afya la Insupply Yasmin Chandani, wadau hao walizungumzia mabadiliko katiam mfumo wa ufadhili kuwa sababu kuu zinazozuia upatikanaji wa huduma bora za afya ya uzazi. Wadau hao waliyoyasema hayo wakati wa warsha kuhusu upangaji uzazi iliyoandaliwa katika kaunti ya Nairobi walisema kuwa kujumuishwa kwa wadau wa kibinafsi wakiwemo wataalamu wa dawa kutaimarisha uhamasisho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive