Juhudi za uokoaji zinaendelea Myanmar

  • | BBC Swahili
    7,123 views
    Juhudi za uokoaji zinaendelea baada ya tetemeko la ardhi kuikumba Myanmar. Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa ombi la dharura la $8m (£6.2m) kusaidia kukabiliana na athari za janga hilo. Kwa mengi zaidi, jiunge na @RoncliffeOdit katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. #bbcswahili #mynmar #tetemekolaardhi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw