Jumba la ghorofa kumi lililoanza kudidimia labomolewa na wanajeshi

  • | Citizen TV
    14,678 views

    Jumba la ghorofa kumi lililoanza kudidimia wiki jana jijini Mombasa linabomolewa leo chini ya usmimamizi wa jeshi na maafisa wa kaunti ya Mombasa.