Jumba lililokuwa likijengwa laporomoka Suneka, Bonchari Kisii

  • | KBC Video
    2,032 views

    Watu watano wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya jengo la ghorofa tatu lililokuwa likijengwa kuporomoka katika mji wa Suneka, kaunti ya Kisii. Idadi kamili ya watu waliokwama ndani ya jengo hilo bado haijathibitishwa. Kamishna wa kaunti katika eneo hilo Joseph Kibet anasema shughuli za uokoaji bado zinaendelea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive