- 2,617 views
Mbunge wa Suna West Junet Mohamed sasa ndiye kiongozi wa wachache katika bunge la kitaifa akichukua nafasi ya Opiyo Wandayi aliyeteuliwa kuwa Waziri. Mbunge wa Suba West Millie Odhiambo naye akiteuliwa kiranja wa wachache huku mbunge wa Saboti Caleb Amisi sasa akichukua nafasi ya mwenyekiti wa kamati ya bunge ya uhasibu. Mabadiliko hayo yalitangazwa na katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna ambaye alisema amepokea barua za kujiuzulu kutoka kwa wanachama wake wanne ambao wameteuliwa katika baraza la mawaziri.
Junet Mohammed sasa ndie kiongozi wa wachache Mbungeni
- - Duniani Leo ››
- 1 Nov 2024 - For months, Agnes Bulaba, a Congolese refugee in Uganda, has had to get by without the food rations she once depended on. Her children scavenge among local communities for whatever they can find to eat.
- 1 Nov 2024 - Society deems them deviant and disruptive, without considering gender and racial repression that fuels their agitation.
- 1 Nov 2024 - This comes hours after the High Court lifted an order blocking his ascension to DP.
- 1 Nov 2024 - Mt Kenya has historically played a decisive role in presidential elections.
- 1 Nov 2024 - By openly clashing with the president’s inner circle and more, Gachagua broke essential rules of political survival.
- 1 Nov 2024 - How procedural blunders cost Gachagua's lifeline
- 1 Nov 2024 - Abductions soil Kenya's image
- 1 Nov 2024 - Irony of low inflation but empty pockets
- 1 Nov 2024 - What awaits Kithure Kindiki
- 1 Nov 2024 - Kindiki to finally get coveted prize after lengthy wait