Junior Starlets kupambana na Cameroon kesho, kufuzu Kombe la Dunia Morocco

  • | NTV Video
    270 views

    Timu ya taifa ya soka ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 17 Junior Starlets itapambana na Cameroon uwanjani Nyayo hapo kesho, katika mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi mwisho ya kufuzu kombe la dunia nchini Morocco.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya