KAA yaanzisha ujenzi wa kituo kipya cha abiria

  • | Citizen TV
    206 views

    Mamlaka ya viwanja vya ndege nchini KAA ikishirikiana na serikali ya kaunti ya Garissa wameamzisha ujenzi wa kituo kipya cha kupokea na kukagua abiria katika uwanja wa ndege wa Garissa ili kuboresha na kurahisisha usafiri wa watu.