Kalonzo akashifu kujihusisha kwa Kenya katika mzozo wa Sudan

  • | KBC Video
    135 views

    Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amekashifu hatua ya kujihusisha kwa Kenya katika mzozo unaoendelea nchini Sudan, akitaja hatua hiyo kuwa hatari. Makamu huyo wa rais wa zamani amesema Kenya yafaa kulindwa kutokana na muingilio kutoka nje.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive