Kalonzo akosoa namna serikali inavyoshughulikia sheria

  • | KBC Video
    16 views

    Viongozi wa upinzani wakiongozwa na Kalonzo Musyoka wamekosoa jinsi serikali inavyoshughulikia utawala wa sheria humu nchini. Akihutubia umati wa watu wakati wa Ibada ya 10 ya ukumbusho wa Jaji Kasanga Mulwa katika shamba la familia hiyo laLukenya Hills, Musyoka aliikosoa serikali akiitaja kile alichokisema kuwa hali mbaya inayoikabili nchi. Matamshi hayo yalijiri wakati viongozi hao walitoa heshima zao kwa marehemu Jaji Mulwa, wakipongeza urathi wake mwema katika sheria na huduma kwa jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive