Kalonzo akosoa serikali kwa kutochukuwa hatua dhidi ya utekaji nyara

  • | K24 Video
    221 views

    Kurejea kwa Yussuf Ahmed mwakilishi wadi wa dela, kaunti ya Wajir, ambaye alikuwa amepotea kwa karibu miezi sita, kumezua hasira za kisiasa na wito wa uwajibikaji. akizungumza Nairobi hospital baada ya kumtembelea Ahmed , kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka na mwenzake wa DAP-Kenya Eugene Wamalwa walikosoa vikali kushindwa kwa serikali kuchukua hatua dhidi ya utekaji nyara unaofanyika humu nchini.Viongozi hao wanasema ni kinaya kwa serikali kuweka makubaliano kuhusu kuwafidia waathirika wa utekaji nyara ilhali inahusika na utekaji nyara huo