Kalonzo amtaka Rais Ruto kuacha kushambulia makanisa

  • | K24 Video
    32 views

    Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, amemtaka rais William Ruto kuacha kushambulia makanisa yanayoangazia ufisadi katika serikali yake. Akizungumza baada ya kusherehekea misa katika kaunti ya kitui, kalonzo alisema kuwa serikali imekuwa ikishambulia kanisa katoliki hivi karibuni. kiongozi huyo wa upinzani pia alitoa wito wa umoja wa kitaifa.