Kalonzo calls for resignation of President Ruto over abduction of young Kenyans

  • | Citizen TV
    31,922 views

    Kinara wa Wpier Kalonzo Musyoka sasa anataka serikali ichukue lawama kikamilifu kwa sababu ya visa vyta utekaji nyara nchini. Kalonzo anasema inasikitisha kuona waziri katika serikali ya kenya kwanza akilalama kuhusu kisa cha mwanawe kutekwa nyara na hakuna umuhimu uliopewa kisa hicho sawia na visa vinavyohusu vijana wengine. hube tusikilize.

    abduction