Kalonzo Musyoka amkosoa Rais Ruto kuhusiana na kuzorota kwa mahusiano na mataifa jirani

  • | Citizen TV
    2,617 views

    Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amemshtumu Rais William Ruto kwa kile alichokitaja kama kuharibu uhusiano wa kenya na mataifa jirani. Kalonzo anasem ahii ni kutokana na rais ruto kukubali kufanyika kwa mkutano wa waasi wa rapid support forces wa sudan kufanya mikutano ya kuunda serikali mbadala .