Kalonzo Musyoka asema serikali ya Kenya Kwanza haina muelekeo mzuri

  • | Citizen TV
    1,558 views

    Haya yakijiri, baadhi ya viongozi wa upinzani wakiongozwa na Kalonzo Musyoka wameapa kuendelea kupinga mikataba kati ya serikali na kampuni ya Adani. Kalonzo ameikashifu serikali kwa kuendelea na mikataba hiyo hata baada ya maswali kuibuka kutoka kwa wakenya. Sasa anadai kuwa hoja ya kumbandua naibu rais rigathi gachagua mamlakani ni mbinu ya kuwapumbaza wakenya kutofahau yanayoendelea.