Kalonzo Musyoka na Eugene Wamalwa wamsuta Jenerali Charles Kahariri kwa matamshi yake

  • | Citizen TV
    1,710 views

    Viongozi Wa Upinzani Kalonzo Musyoka Na Eugene Wamalwa Wamemsuta Jenerali Charles Kahariri Kwa Matamshi Yake Dhidi Ya Wakenya Wanaoendeleza Kauli Mbiu Ya "Ruto Must Go" Kwenye Mitandao Ya Kijamii Na Mikutano Ya Hadhara. Wakizungumza Katika Kaunti Ya Nyamira, Viongozi Hao Wamewataka Wanajeshi Kukoma Kujihusisha Na Siasa.