Kalonzo na Wamalwa kuunda muungano mpya

  • | Citizen TV
    11,899 views

    Kinara wa chama cha wiper Kalonzo Musyoka na mwenzake wa DAP Kenya Eugene Wamalwa wamesema kuwa wameanzisha mchakato wa kujiondoa kwenye muungano wa Azimio na kuunda muungano mpya wa kisiasa kabla ya mwaka ujao. Viongozi hao wawili wamesema kuwa huenda kalonzo musyoka akawa kinara wa muungano huo mpya.