- 176 views
Shirika la utafiti wa Kilimo na mifugo Kalro linaendeleza mafunzo katika eneo la Isinya kaunti ya Kajiado kuhamasisha maafisa wa Kilimo Kutoka kaunti hiyo kuhusu haja ya kufanyia majaribio udongo ili kuboreshakilimo katika maeneo mbalimbali ya Kajiado. Mafunzo hayo yanalenga kuongeza uzalishaji ili Kutoa ushauri sahihi kuhusu aina ya mimea inayopaswa kukuzwa katika sehemu mbalimbali za kaunti ya Kajiado na pia kupata ushauri kuhusu aina ya mbolea inayopaswa kutumika.
KALRO laendeleza mafunzo eneo la Isinya kuhusu haja ya kufanyia majaribio udongo kuboresh kilimo
- - 🔴LIVE | TV47 MATUKIO ››
- 30 Jan 2025 - A passenger plane caught fire before takeoff at an airport in South Korea late Tuesday, but all 176 people on board were safely evacuated, authorities said.
- 30 Jan 2025 - An initiative to connect 300 million Africans to electricity in the next six years has won new pledges worth more than $8 billion (around Ksh.1 trillion) from lenders including the Islamic Development Bank and the Asia Infrastructure Investment Bank.
- 30 Jan 2025 - Trump's harsh foreign aid policy a wake-up call for Africa, says Uhuru
- 30 Jan 2025 - Future of 1.2m learners at risk as NG-CDF faces battle for survival
- 30 Jan 2025 - Why Wanjiru's relatives had to wait years for justice, closure
- 30 Jan 2025 - Wanjiru's inquest adds to Justice Micheni's list of landmark cases
- 30 Jan 2025 - Why townhouses are selling faster than apartments
- 30 Jan 2025 - Kenyans snitch on friends to have them deported
- 30 Jan 2025 - Why Mariakani is the new property hotspot in Kilifi
- 30 Jan 2025 - Narc dream fades as Karua puts last nail in party coffin