KALRO yaanzisha zoezi la utafiti wa udongo katika kaunti 45 nchini

  • | Citizen TV
    67 views

    Taasisi ya utafiti wa kilimo na ufugaji nchini (KALRO) imeanzisha zoezi la utafiti wa udongo katika kaunti 45 nchini ili kuwaelekeza wakulima ifaanvyo msimu w aupanzi unapoanza.