Kamala azidisha ukosoaji kwa Trump, asema mpinzani wake hana uthabiti

  • | VOA Swahili
    104 views
    Kihistoria Jimbo la Arizona linaegemea kwa Chama cha Republikan, ambapo katika kipindi cha miaka 76 ni wagombea watatu pekee wa urais Wademokratik walishinda katika jimbo la Kusini Magharibi. Je, hali mwaka huu katika jimbo hilo ikoje. Sikiliza ripoti kamili... #historia #arizona #jimbo #republikan #wademokratiki #chama #wagombea #urais #voa #voaswahili