Kamati maalum imezunduliwa na Waziri Duale kuchunguza figo hospitali ya Mediheal

  • | Citizen TV
    96 views

    Kamati mpya ya kuchunguza tuhuma za uuzaji wa viungo nchini inaanza shughuli zake leo, kufuatia uzinduzi wake unaoendelea sasa katika makao makuu ya wizara ya afya. Waziri Aden Duale na maafisa wakuu wa wizara ya afya wameongoza hafla hii. Waziri Duale juma lililopita alibuni kamati hii mpya kufuatia ripoti kuwa ripoti ya awali iliyochunguza tuhuma za biashara haramu ya kuuza figo katika hospitali ya Mediheal ilikuwa na dosari.