Kamati ya Bunge inamhoji kujaza nafasi ya Inspekta Jenerali Douglas Kanja

  • | TV 47
    40 views

    Kamati ya Bunge inamhoji kujaza nafasi ya Inspekta Jenerali.

    Nafasi hii iliachwa wazi baada ya Japhet Koome kujiuzulu Julai,12.

    Awali Kanja alikuwa kamanda wa GSU na Naibu Inspekta Jenerali.

    Kanja ana tajriba ya miaka 30 katika huduma ya polisi.

    Alianza kazi mwaka wa 1985 –Wadhifa wa Konstebo na kupaa zaidi.

    Ni Kamishena wa Tume ya Kitaifa ya Huduma za Polisi-NPSC.

    2019 alihusika katika kupanga operesheni ya Dusit baada ya shambulizi.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __