Kamati ya bunge kuhusu elimu yakutana na viongozi wa vyama vya wafanyikakazi wa TUK

  • | Citizen TV
    208 views

    Viongozi Wa Vyama Vya Wafanyakazi Wanaowakilisha Chuo Kikuu Cha Ufundi, Tuk, Wamekutana Na Kamati Ya Bunge Kuhusu Elimu Na Kueleza Masaibu Ya Wafanyakazi Wa Chuo Hicho Waliogoma Kwa Siku 50 .