Kamati ya bunge la taifa kuhusu bajeti imeendelea na vikao

  • | Citizen TV
    268 views

    Kamati ya bunge la taifa kuhusu bajeti imeendelea na vikao vya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu mapendekezo ya bajeti ya mwaka 2024/2025. Vikao hivyo viliendelea hapa jijini nairobi na maeneo mengine nchini ambapo wananchi waliitaka kamati kuzingatia kutenga fedha nyingi kwa uendelezaji wa miradi ya kusaidia wananchi na kupuuza mapendekezo ya viongozi ya kutaka kutengewa mabillioni ya pesa kukarabati ofisi zao