Kamati ya kushauri Bajeti na Uchumi ya kaunti ya Busia

  • | West TV
    44 views
    Serikali ya kaunti ya Busia imezindua kamati ya watu kumi na mmoja ya kiuchumi na bajeti ya kaunti hiyo ili kusaidia kukwamua uchumi wake, kamati hiyo ikiongozwa na aliyekuwa Seneta wa kaunti hiyo Amos Wako na Waziri wa zamani wa fedha Chris Okemo.