Kambi ya siku tatu inaandaliwa Nairobi

  • | Citizen TV
    191 views

    Timu ya taifa kwa vijana wasiozidi miaka 20 Rising stars ilianza kambi ndogo ya siku tatu kama sehemu ya maandalizi yake kwa dimba la mataifa bingwa afrika litakaloandaliwa Aprili 26 hadi Mei 18 nchini Ivory Coast