Kamishna wa kituu aongoza mkutano wa usalama

  • | Citizen TV
    105 views

    Kamishina wa Kaunti ya Kitui Kipchumba Rutto ameongoza kikao maalum cha maafisaa wa usalama kutoka Kaunti ndogo nane za Kitui ili kupanga mikakati ya kiusalama wakati huu wa sherehe za Christmas na mwaka mpya.