Kampeni dhidi ya dhulma za kijinsia yaimarishwa Samburu

  • | Citizen TV
    102 views

    Wadau wanaopigania kulemazwa kwa dhulma za kijinsia katika kaunti ya Samburu, wametoa wito kwa wadau wote kushirikiana kukomesha ongezeko la dhulma hizo kaunti hiyo. Takwimu zinaashiria kaunti hiyo imerekodi ongezeko la dhulma hizo kwa asilimia arobaini na saba.