Kampeni ya mazingira endelevu yazinduliwa

  • | KBC Video
    6 views

    Mamia ya wadu wa mazingira wamezindua kampeni ya mazingira endelevu yanayoafikiwa na watu wote. Watafiti, wajasirimali na maafisa wa serikali kutoka Kenya na Ubelgiji wamesema kongamano lenye mada ya kujenga mustakabali endelevu na shirikishi ni harakati ya mustakabali unaokubalika Kenya kutokana na ukuaji wa miji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive