Chama cha United Democratic Alliance UDA kimeimarisha kampeni zake katika eneo bunge la Mbeere kaskazini huku likielekea kwenye uchaguzi mdogo. Katika juhudi za kutfuta uungwaji mkono wa Leo Wamuthende, naibu rais Prof. Kithure Kindiki aliongoza ujumbe wa wabunge, waakilishi wadi na viongozi wa eneo hilo kumpigia debe Wamuthende.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive