Kampuni ya Halane yatoa msaada wa chakula Wajir

  • | Citizen TV
    84 views

    Kadri ukame unavyoendelea kuathiri sehemu za Kaunti ya Wajir, na kwa kuwa mwezi mtukufu wa Ramadhani unaendelea, mradi wa ujenzi wa barabara wa Horn of Africa Gateway Development unaonyesha kuwa hauhusu tu miundombinu bali pia ustawi wa jamii.