Kampuni ya KPC kuwafadhili wanafunzi walemavu

  • | KBC Video
    9 views

    Wakfu wa kampuni ya mabomba, Kenya Pipeline umeanzisha mpango wa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi werevu kutoka familia maskini ambao pia wana ulemvu katika kaunti zote 47. Meneja Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Joe Sang amesema kuwa mpango huo ni kielelezo cha ushirikino wa pamoja. Sang anasema kuwa wakfu huo pia umezindua mpango wa unasihi wa unaolenga kuhakikisha wanafunzi wanasalia shuleni, kuboresha masomo, na kuwapa ujuzi kitaaluma. Mpango huo utawafaidi wanafunzi 370 kila mwaka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive