Kampuni ya Shri Krishana Overseas kuorodheshwa kwenye soko la hisa la Nairobi

  • | KBC Video
    13 views

    Kampuni ya upakiaji mizigo, Shri Krishana Overseas inapania kuanza kuuza hisa zake katika soko la hisa la Nairobi. Afisa mkuu mtendaji wa soko la mtaji la Nairobi Frank Mwiti, amesema kuorodheshwa kwa kampuni hiyo ni sehemu ya mpango mahsusi wa kushawishi kampuni zinazomilikiwa na familia kujitosa kwenye ulingo huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive