Kampuni ya Super Metro yapeleka magari yakaguliwe siku chache baada ya kupokonywa leseni yao

  • | Citizen TV
    2,401 views

    Siku Chache Baada Ya Kupokonywa Leseni Yao, Wasimamizi Wa Kampuni Ya Usafiri Ya Super Metro Wamezungumza Wakidai Hatua Hiyo Ni Ya Kuwahangaisha. Aidha Waliwasilisha Zaidi Ya Magari 200 Ya Kampuni Hiyo Katika Eneo La Ukaguzi Kama Njia Moja Ya Kufuata Masharti Yaliyowekwa Na Mamlaka Ya Ntsa Baada Ya Kuwapokonya Leseni. Ode Francis Na Maelezo Zaidi.